Faida 16 za Pilipili hoho

Pilipili hoho hutumika kama kiungo kwenye mboga za aina mbalimbali majumbani mwetu lakini je umewahihi kujiuliza ni virutubisho gani hupatikana ndani ya pilipili hoho? Pia nini umuhimu wa kiungo hiki kwenye miili yetu?

 
Afya Med tunakuletea faida zipatikanazo baada ya mtu kutumia pilipili hoho.


  1.  Kwanza kabisa  kuna aina mbili za pilipili hoho ambazo ni kijani na njano. Pilipili zenye rangi ya njano husadikika kuongoza kwa virutubisho vya aina ya zeaxanthin na lutein. Madini haya pia husaidia kupunguza uwezekano wa kutokea kwa tatizo la mtoto wa jicho. 

  2. Pia pilipili hoho huongeza kinga ya mwili. Hii husaidia mwili kupambana na magonjwa mbalimbali
  3. Uwezo wa kupambana na magonjwa sugu ya saratani. Tafiti mbalimbali zimefanyika kuthibitisha hili.
  4. Husaidia kuongeza uwezo wa kuona kwa wale wenye matatizo ya macho. Hivyo ni vyema kutumia kiungo hiki cha chakula ili kuongeza uwezo wa kuona vizuri.
  5. Pilipili hoho husaidia mwili kupambana na magonjwa ya moyo.
  6. Juisi ya pilipili hoho husaidia kuchuja takamwili.
  7. Hutibu muwasho wa vidonda vya kooni.  
  8. Pilipili hoho zina vitamini C kwa wingi hii husaidia kutibu ugonjwa wa kutokwa damu puani na kuimarisha kinga ya mwili.
  9. Husaidia kukinga saratani ya kibofu cha mkojo.
  10. Kupunguza mafuta ya sio hitajika mwili hivyo huweza kupunguza uzito.
  11. Kuimarisha mzunguko wa damu mwilini pamoja na kupunguza shinikizo la damu
  12. huongeza kiwango cha damu mwilini.
  13. Uwezo wa kurekebisha presha za kushuka na kupanda.
  14. tafiti kadhaa zinaonesha kua Hoho husaidia kutibu magonjwa ini.
  15. Husaidia mwili katika mfumo wa mmengenyo wa chakula.
  16. Mchanganyo wa juisi ya pilpili hoho na spinachi humaliza tatizo la kujaa kwa gesi tumboni.

About Dr.Mkojera

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

Dealing with health related issues

Forex

//graizoah.com/afu.php?zoneid=3455041